Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2018

MAGAZETI YA LEO AUGUST 29 2018

HABARI HAI

DC HAI AAGIZA WAWILI KUWEKWA RUMANDE  BAADA YAKUIKOSESHA SERIKALI MAPATO. Na Agnes's Mchome Hai Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameuagiza uongozi wa shamba la mwekezaji la TUDLEY Estate LTD kulipa ndani ya siku saba deni la zaidi ya  cha Shilingi milioni 700 ikiwa ni kodi ya serikali ya mkataba wa mauzo ya shea waliyokwepa wakati wa kubadilisha mmiliki wa shamba hilo kutoka kwa Konrad Legg kwenda kwa Trover Gifford. Pamoja na agizo hilo pia mkuu huyo wa wilaya ameagiza Meneja na Mwanasheria wa Shamba hilo kuwekwa ndani saa 48 pamoja na kuchukuliwa hatua za kisheria wakipatikana na kosa la kumpotosha mwajiri wao na kumsababisha kukwepa kulipa kodi. Hatua hiyo inakuja baada ya kubainika kuwa mwekezaji wa shamba hilo Konrad Legg  aliingia mkataba na vyama vinne vya ushirika vya Mudio , Masama Roo , Sonu Ngira  na Masama Sawe *MUROSOSANGA kwa kipindi cha miaka 35 kuanzia mwaka 1998 hadi 2025. Sabaya amesema kuwa kutokana na mwekezaji wa kwanza kufanya mkabat...

Vip kuhusu usajali majuu

Picha
KIMATAIFA TETESI ZA USAJILI USAJILI KIMATAIFA Guardiola, Mourinho na Klopp yupi ametumia fedha nyingi zaidi Ligi kuu ya England inakaribia kuanza. Kuna makocha wanaopewa nafasi kubwa Jurgen Klopp Pep Guardiola Jose Mourinho Klopp amepata wachezaji wakubwa kadhaa Alisson, Fabinho na Naby Keita. Wote wamejiungaAnfield kwa kitita cha £150million. Pep Guardiola aliulizwa kuhusu mabadiliko aliyoyafanya Klopp kwenye mchezo wa wa kirafiki dhidi ya City. Guardiola anasema anachokifanya mtu kama ameona ni kizuri basi vyema afanye kwa manufaa yake. Sisi hatuna shida. Timu nyingi zimebadilisha mifumo ya uandaaji wa kikosi. Sajili kubwa zimefanyika kwa fujo. Hebu basi tuangalie kwa miaka kadhaa kati ya Klopp, Mourino na Guardiola nani amefanya usajili mkubwa zaidi. Manchester United WALIOSAJILIWA 2018/19 Fred £53.1m, Dalot £19.8m, Grant £1.53m 2017/18 Lukaku £76.23m, Matic £40.23m, Lindelof £31.5m, Sanchez Bure, Pogba ndiye mchezaji wa ghali ...

Kuhusu mourinho

Picha
Kabla ya kumshambulia Alvaro Morata wakumbukeni hawa Morata Morata Morata, kila mtu anapiga kelele kuhusu mshambuliaji huyu wa Chelsea, mashabiki wa Chelsea wamemchoka na sasa wengi wanaona atafute pa kwenda tu. Morata alijiunga na Chelsea msimu uliopita kwa ada ya £60m akitokea Real Madrid akitajwa kama mrithi wa Diego Costa, lakini kabla ya kumshambulia Alvaro Morata ni vyema tukakumbuka kuna ambao msimi wa kwanza walikataliwa lakini msimu wa pili wakawa lulu. David De Gea. Wakati De Gea akijiunga na United 2011 kulikuwa na hofu kubwa kuhusu uwezo wake, na kwa kipindi hicho United kulikuwa ndio mabeki wake nguli wanaisha ishia. Wengi walimsema vibaya De Gea huku wakikadhania kwamba haoni mbali, lakini msimu wa 2013/2014 kila mtu akaziba mdomo na kuamini alikuwa mrithi sahihi wa Van Der Saar. Patrice Evra. Ferguson alimchukua Evra msimu wa mwaka 2006 kwa ada ya £5.5 akitokea Monaco, msimu ambao United walikufa 3-1 toka City, Evra akaonekana alichomesha akatos...

Michezo kimataifa leo

Picha
Son Heung Min kupelekwa jeshi baada ya kufeli timu ya taifa, hii sheria vipi Bongo South Korea hakuna ulelemama, kama wewe ni kijana ambaye hujafikisha miaka 28 na huna tatizo lolote la kiafya baasi ni lazima uende jeshini ukalitumikie kwa muda wa miaka miwili. Mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Hotspur Son Heung Min anakaribia naye kwenda kujiunga na jeshi la nchini humo mapema mwakani. Msimu wa 2018/2019 unaweza kuwa wa mwisho kwa striker huyu na baada ya hapo atakwenda jeshini, lakini Heung Min anaweza akalikwepa hili la jeshi kama kuna jambo atalifanyia taifa lake. Hii inamaanisha kwamba kama anaweza kuisaidia timu yao ya taifa kufanya vizuri mwaka 2019 katika michezo ya Asia baasi hatakwenda jeshini atasamehewa. Mwanzo Son na wenzake walipewa nafasi kuikwepa adha hiyo ya kutokwenda jeshini kupitia kombe la dunia lakini matokeo mabovu yaliwafanya kuendelea kusubiria kwenda jeshi. Kwa Korea Kusini kama ukikataa kwenda jeshi katika miaka hiyo miwili kinachotokea ni jela, zai...