Vip kuhusu usajali majuu
Guardiola, Mourinho na Klopp yupi ametumia fedha nyingi zaidi
Ligi kuu ya England inakaribia kuanza.
Kuna makocha wanaopewa nafasi kubwa
Jurgen Klopp
Pep Guardiola
Jose Mourinho
Klopp amepata wachezaji wakubwa kadhaa Alisson, Fabinho na Naby Keita. Wote wamejiungaAnfield kwa kitita cha £150million.
Pep Guardiola aliulizwa kuhusu mabadiliko aliyoyafanya Klopp kwenye mchezo wa wa kirafiki dhidi ya City.
Guardiola anasema anachokifanya mtu kama ameona ni kizuri basi vyema afanye kwa manufaa yake. Sisi hatuna shida. Timu nyingi zimebadilisha mifumo ya uandaaji wa kikosi. Sajili kubwa zimefanyika kwa fujo.
Hebu basi tuangalie kwa miaka kadhaa kati ya Klopp, Mourino na Guardiola nani amefanya usajili mkubwa zaidi.
Manchester United
WALIOSAJILIWA
2018/19
Fred £53.1m, Dalot £19.8m, Grant £1.53m
2017/18
Lukaku £76.23m, Matic £40.23m, Lindelof £31.5m, Sanchez Bure, Pogba ndiye mchezaji wa ghali zaidi Man United
2016/17
Pogba £94.5m, Mkhitaryan £37.8m, Bailly £34.2m, Zlatan Bure
Jumla: £388.89m
WALIONDOKA
2018/19
Blind £14.4m, Johnstone £6.62
2017/18
Januzaj £7.65m, A Pereira £2.7m Ada ya Mkopo, Mkhitaryan Bure
2016/17
Schneiderlin £20.61m, Depay £14.4m, McNair £4.73m, Blackett £1.62m, W Keane £1.08m
Jumla: £73.81m
Mauzo na Manunuzi: £315.08m
Manchester City
WALIOSAJILIWA
2018/19
Mahrez £61.02m, Sandler £2.25m, Riyad Mahrez ndiye mchezaji wa ghali zaidi Man City.
2017/18
Laporte £58.5m, Mendy £51.75m, Walker £47.43m, Bernardo £45m, Ederson £36m, Danilo £27m, Douglas £10.8m, Harrison £3.6m, Kayode £3.42m, Ilic £2.25m
2016/17
Stones £50.04m, Sane £45.45m, Jesus £28.8m. Gundogan £24.3m, Nolito £16.2m, Bravo £16.2m, Moreno £4.95m, Rulli £4.23m, Zinchenko £1.8m, Mari £180k
Jumla: £543.17m
WALIONDOKA
2018/19
Gunn £10.17m, Maffeo £8.1m, Angelino £4.95m, Kayode £2.7m
2017/18
Iheanacho £24.93m, Unal £12.6m, Bony £11.7m, Mooy £8.19m, Nolito £6.3m, Fernando £5.4m, Kolarov £4.5m, Ntcham £4.5m, Nasri £3.15m. Hart £2.07m Ada ya Mkopo, Sobrino £1.8m, Zuculini £1.13m, Denayer £450k Ada ya Mkopo
2016/17
Jovetic £12.15m, Dzeko £9.9m, Rulli £6.3m, Bony £2.12m Ada ya Mkopo, Lejeune £1.35m
Jumla: £144.46m
Mauzo na Manunuzi: £398.71m
Liverpool
WALIOSAJILIWA
2018/19
Alisson £56.25m, Keita £54m, Fabinho £40.5m, Shaqiri £13.23m
2017/18
Van Dijk £70.92m, Salah £37.8m, Oxlade-Chamberlain £34.2m, Robertson £8.1m, Gallacher £205k, Solanke Bure,
Virgil van Dijk ndiye mchezaji ghali zaidi wa Liverpool
2016/17
Mane £37.08m, Wijnaldum £24.75m, Karius £5.58m, Klavan £4.5m, Matip Bure
Jumla: £387.12m
WALIONDOKA
2018/19
Ward £12.6m
2017/18
Coutinho £112.5m, Sakho £15.38m, Origi £5.85m Ada ya Mkopo, Leiva £5.13m, Stewart £4.05m, Wisdom £2.07m, Sturridge £2.07m Ada ya Mkopo
2016/17
Benteke £28.08m, Ibe £16.2m, Allen £13.95m, Skrtel £5.4m, Ilori £3.87m, Luis Alberto £3.6m, Smith £3.24m, Sakho £2.07m Ada ya Mkopo
Jumla: £246.06m
Mauzo na Manunuzi: £141.06m
MOURINHO:
Manunuzi £388m
Mauzo:£73m
GUARDIOLA:
Manunuzi: £543m
Mauzo: £114M
KLOPP
Manunuzi: £387m
Mauzo: £246m
Data zingine.
Liverpool £112.5million la Philippe Coutinho kwenda Barcelona.
Kuhusu Mishahara United na City zinaongoza
Maoni
Chapisha Maoni