Mchezo wa simba na yanga kamera mua zafungwa

Yanga, Simba kamera 100 zafungwa Uwanja wa Taifa 19 hours ago  Dar es Salaam.
Katika kuimarisha usalama kwenye Uwanja wa Taifa katika mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga Aprili 29, Shirikisho la soka nchini (TFF) , limetengaza kufungwa kwa kamera 109 uwanjani hapo.

Afisa habari wa Shirikisho hilo, Clifford Ndimbo alisema watu wa usalama wamejipanga vyema kudhibiti vurugu zozote ambazo zinaweza kujitokeza katika mchezo huo

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA MWANAMUZIKI KOFFI OLOMIDE

Koffi olomide