YANGA KWELI. HAKUNA KULALA HATIMAYE WZINDUA TIV YAO RASMI

Klabu soka ya Yanga imezindua programu maalum ikijiunga kidigitali katika kutoa taarifa za timu hiyo kwa mashabiki wake na kuiingizia kipato timu yao, hata hivyo kufuatia uzinduzi huo pia na jitihada za viongozi ya kuletea maendeleo ambapo iliambatana na minong'ono ya mda mrefu sasa imefikia mwisho ambapo Aprili Mosi mwaka huu klabu hiyo kongwe zaidi nchini inatarajia kuzindua TV ambapo mashabiki na watanzania kiujumla wataijua Yanga kupitia Yanga TV.

Agnes's Mchome the sports lady

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA MWANAMUZIKI KOFFI OLOMIDE

Koffi olomide