Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2018
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya February 25 moments ago                          

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI 22 february 2018

                     

YANGA YAZIDI KUNG,ARA KATIKA lIGI YA MABINGWA BARANI AFRICA

YANGA SC imefanikiwa kwenda Raundi ya Kwanza ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika licha ya sare ya 1-1 na wenyeji, Saint Louis Suns United jioni ya leo katika mchezo wa marudiano wa Raundi ya Awali Uwanja wa Linite mjini Victoria, Shelisheli. Mabingwa wa Tanzania wanasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 2-1 baada ya Februari 10 kushinda 1-0 pia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, bao pekee la kiungo Juma Mahadhi aliyekosekana uwanjani leo kwa sababu ya homa. Katika mchezo wa leo uliochezeshwa na marefa Madagascar, Andofetra Avombitana Rakotojaona aliyesaidiwa na Lionel Hasinjarasoa Andrianantenaina na Pierre Jean Eric Andrivoavonjy, hadi maopumziko Yanga walikuwa mbele kwa bao 1-0. Bao hilo lilifungwa na kiungo mshambuliaji mjuzi wa kuuchezea mpira, Ibrahim Ajib Migomba dakika ya 45 akimalizia krosi nzuri ya beki wa kulia, Hassan Ramadhan Hamisi ‘Kessy’. Kabla ya bao hilo, timu hizo zilikuwa zikishambuliana kwa zamu, ingawa hayakuwa mashambulizi ya kusisimua na ilikuwa kazi rahisi kw...

MAGAZETI YA LEO FEBRUARY 20/2018

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya February 20 17 hours ago                    

NJIA HIZI HAZIWEZI KUSABABISHA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA UKIMWI

Ugonjwa wa Ukimwi hauwezi kuambikizwa kwa njia zifuatazo 57 minutes ago  Ugonjwa wa ukimwi hauwezi kuambikizwa kwa njia zifuatazo. 1. Busu kavu 2. Kuchangia kitanda kimoja. 3. Kula kwa pamoja. 4. Kutumia vyombo vya aina moja kulia chakula. 5. Kupiga chafya. 6. Kuchangia choo kimoja 7. Kuumwa na wa wadudu ikiwemo (mbu).

Jinsi ya kulinda mapenzi yadumu